WahengaWapya
YA

Yusra Athumani

Dar es Salaam, Tanzania

Spoken WordCulture#Upendo#Maadili#Jamii#Love#Morality#Society#Kiswahili Poetry

Naitwa Yusra Athumani ni Msichana wa miaka 19,mzaliwa wa Dar es Salaam .Ni mtoto wa tatu Kati ya wanne katika familia ya Bwana Athumani Kilapo .Ni mhitimu wa kidoto cha sita na natarajia kujiunga na elimu ya juu novemba mwaka huu.Mimi ni msichana mwenye kipaji cha ushairi nikivutiwa zaidi na kazi za sanaa kama ushairi wenyewe ,uandishi wa hadithi , pamoja na uchoraji.Aidha nimewahi kushiriki kwenye majukwaaa mbalimbali kipindi nipo shuleni na hata nje ya shule .

Audio

3 tracks

Nimekuchagua Wewe

0:00 / 0:49

Jumba Bovu

0:00 / 3:04

Ikiwa

0:00 / 2:11