Sudi Salehe Liyele
Dar es Salaam, Tanzania
Spoken WordNarrative#Historia#Jamii#Utamaduni#Society#Culture#Kiswahili Poetry
Habari jina langu naitwa SUDI SALEHE LIYELE jina la kisanii naitwa LIYELE MSHAIRI. Mimi ni msanii wa maigizo ya jukwaani filamu ushairi mwandishi na msimuliaji hadithi.
Audio
2 tracksHapo Zama Za Kale
Afya Ya Uzazi Kabla Ya Ukoloni