WahengaWapya
Portrait of Said SuperSS

Said Super

Dar es Salaam, Tanzania

TheatricalCommunity#Ukarimu#Utu#Jamii#Generosit#Humanity#Society#Kiswahili Poetry

Said Super ni mwandishi wa mashairi, riwaya, na miswada ya filamu. Ni mwanaharakati wa haki za wanadamu anayetumia jukwaa la Sanaa kuwafikia wanajamii. Ni mwanzilishi wa taasisi ya Sanaa ijulikanayo kama Power Sanaa Planet.

Audio

2 tracks

Mzungu Usizunguke

0:00 / 2:22

Penye Hoja Ipo Haja

0:00 / 1:59