Sabah Bakari
Kusini, Unguja
MahadhiCommunity#Elimu#Maadili#Asili#Education#Morality#Nature#Kiswahili Poetry
Sabah Bakari Hassan ni mkazi wa Shehia ya Koani, Wilaya ya kati, Mkoa wa Kusini Unguja. Amezaliwa tarehe 9, Novemba, mwaka 1964, na kuanza kazi za sanaa mwaka 1980 tangu alipokuwa elimu ya sekondari. Sabah Bakari Hassan ni mtunzi wa mashairi, ngonjera, utenzi, tamthiilia, na pia ni mkufunzi wa ngoma za asili.
Audio
3 tracksFimbo Kwanza Hua Mti
Hakuna Ilosomeshwa Elimu Mpaka Kwisha
Matunda Yana Wadudu Kwa Tabia Zetu