WahengaWapya
Portrait of Mwanacha OmarMO

Mwanacha Omar

Kusini, Unguja

MahadhiCulture#Asili#Jamii#Mahusiano#Utambulisho#Nature#Community#Relationships#Identity#Swahili Poetry

Mwanacha Mohamed Omar ni Kijana mwenye umri wa miaka 31. Aliyezaliwa katika kijiji cha Cheju Mgeninani, Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja. Ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya Ualimu na maarifa ya kiiislamu katika Chuo Kikuu cha Waisilamu Morogoro mnamo mwaka 2019. Kwa sasa ni Mwalimu wa Sanaa Skuli ya Sekondari Ubago. Ameolewa na hana mtoto.

Audio

3 tracks

Zanzibar Yetu

0:00 / 3:49

Ningelijua Kuimba

0:00 / 5:58

Bahari

0:00 / 3:33