WahengaWapya
Portrait of Mariam HassanMH

Mariam Hassan

Dar es Salaam, Tanzania

Spoken WordCommunity#Self#Relationships#Womanhood#Nafsi#Mahusiano#Ukike#Bilingual Poetry

Mariam Hassan alizaliwa Rufiji, Tanzania na kulelewa Afrika Kusini. Ni mshairi wakisasa ambaye kazi zake zimechapishwa katika majarida ya fasihi kama The Shallow Tales Review na Pepper Coast Magazine, pamoja na mfululizo wa antholojia za 20.30 Africa. Mashairi yake hujikita katika masuala ya utambulisho, uanawake, kumbukumbu na kujitambua kupitia mtindo wa karibu na wa kutafakari. Kwa sasa anaishi Dar es Salaam, Tanzania ambako anasomea uandishi wa habari na kuandika kuhusu masuala ya uhamiaji na ubunifu.

Audio

3 tracks

Small Mecca

0:00 / 1:17

Letter To The Ghost

0:00 / 1:06

Across There Is Always A Grandmother

0:00 / 1:23