WahengaWapya
Portrait of Kareen KameneKK

Kareen Kamene

Arusha, Tanzania

Spoken WordSociety#Nafsi#Jamii#Elimu Self#Society#Education#Kiswahili Poetry

Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ndani chuo cha uhasibu Arusha IAA. Ninapenda sana kufanya vitu ninavyofurahia kwa kujifunza zaidi kama Kutunga na kuimba mashairi, kuandaa matamasha na kuwa MC. Nina vipaji kadha wa kadha ila akili chanya yenye matumaini ndio inayonipa ujasiri wa kusimama mpaka nilipofika. Nimeshiriki mashindano mbali mbali ya kitaaluma na nimeweza kujifunza mengi hasa yanayowezesha vipaji na taswira ya kijasiriamali. Naitwa Lady Sauti nikiamini Sauti inaweza kubadili maisha hasa ki uchumi na kifikra kwa binadamu kama mimi.

Audio

3 tracks

Dream

0:00 / 2:36

Kalamu

0:00 / 3:56

Tonge Na Sera

0:00 / 2:31