WahengaWapya
Portrait of Husna ChikwelaHC

Husna Chikwela

Dar es Salaam, Tanzania

NgonjeraCommunity#Tamaduni#Jamii#Ukatili#Culture#Tradition#Society#Injustice#Kiswahili Poetry

Husna Mohamed Chikwela ni muandishi, pia ni mpenzi wa kuhudumia wenye mahitaji maalum. Ametunukiwa cheti cha msingi cha usafirishaji na usimamizi wa meli bandarini( shipping and port management), pamoja na cheti cha msingi cha kuwahudumia wenye mahitaji maalum alipohitimu shule ya sekondari. Pia ametunukiwa cheti cha shahada ya logistiki. Na zaidi ya yote Husna Mohamed Chikwela ni mshindi wa tuzo ya mshairi bora wa kike kwenye mashindano ya TUCSA AWARDS ya mwaka 2024/2025.

Audio

1 track

Ukiza

0:00 / 1:31