Hadija Chacha
Dar es Salaam, Tanzania
MelodicPraise#Mola#Mama#Mkulima#Taifa#Tanzania#Spirituality#Mother#Nation#Kiswahili Poetry
Naitwa Hadija Josephat Chacha, ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Nina shauku kubwa ya fasihi, hususan ushairi. Ninapenda kuandika na kushiriki mashairi yanayobeba maadili, hekima, na ujumbe wenye kujenga jamii.
Audio
3 tracksKwa Mola Nawaombea
Nakupenda Mama
Nane Nane