Gloria D. Gonsalves
Kilimanjaro, Tanzania
Spoken WordHeritage#Identity#Inheritance#Home#Utambulisho#Urithi#Nyumbani#Tanzania#Bilingual Poetry
Gloria D. Gonsalves ni mwandishi wa vitabu kadhaa vya mashairi na hadithi za watoto. Mashairi yake yamechapishwa katika majarida ya fasihi barani Afrika, Ulaya, na Marekani. Fauka ya hayo, Gloria ndiye mwanzilishi wa Siku ya Ushairi wa Watoto Duniani (WoChiPoDa), mpango wenye lengo la kurejesha mapenzi katika ushairi kwa watoto. Kumsoma zaidi tembelea tovuti yake www.gloria-gonsalves.com.
Audio
3 tracksPangani Ritual
Child Of Tanzania
Mwana Wa Kitanzania