WahengaWapya
Portrait of Faith AndrewFA

Faith Andrew

Dar es Salaam, Tanzania

Spoken WordNarrative#Gender#Self#Grief#Jinsia#Nafsi#Huzuni#English Poetry

Kwa Majina Naitwa Faith Andrew kutoka Dar es salaam. Mimi ni mghani wa mashairi kwa kuimba na kuandika pia kwa lugha ya kiswahili na pia kiingereza. Napenda kutumia maigizo wakati wa kuimba shairi ili watu waweze kuelewa zaidi kwa matendo na hisia. Asante.

Audio

3 tracks

I Am Not Claimed

0:00 / 3:25

To The One Who Forges My Womanhood

0:00 / 1:43

Climate Vs Woman

0:00 / 3:15