WahengaWapya
Portrait of Dastan MvunyeDM

Dastan Mvunye

Arusha, Tanzania

NgonjeraCommunity#Mama#Mtoto#Afya#Mother#Child#Health#Growth#Kiswahili Poetry

Mimi ni mwandishi wa habari kitaaluma na mtangazaji wa redio ya HATMA FM iliyopo Arusha, pia ni mtunzi wa mashairi mbalimbali ya kimapokeo tangu shule ya msingi na sekondari katika shule ya St Jude Arusha. Ni mwanamdahalo na mzungumzaji wa hadharani na nimefanikiwa kushiriki mashindano ya midahalo ya kitaifa 2021-2022. nimehitimu pia mafunzo ya kimataifa ya mtandaoni ya uongozi ya miezi mitatu mwaka huu sanjari na viongozi wanafunzi wengine wa vyuo kutoka mataifa tisa ya Afrika chini ya AFRICAN STUDENTS LEADERSHIP ACADEMY (ASLA) kama rais wa chuo cha Habari Maalum Arusha.

Audio

3 tracks

Kinga Ni Bora Kuliko Tiba

0:00 / 1:08

Afya Ya Mtoto

0:00 / 1:10

Shairi La Wamama

0:00 / 2:13