WahengaWapya
Portrait of Ali MwalimuAM

Ali Mwalimu

Mjini Magharib, Unguja

MahadhiMetaphoric#Jamii#Mithali#Society#Parable#Kiswahili Poetry

Ali Mwalimu Rashid ni mzaliwa wa pemba mkoa wa kaskazini wilaya ya wete mwaka 1962. Alianza masomo yake na msingi na sekondari mwaka 1970 katika skuli ya uwondwe. Baadae alifaulu kuingia kidato cha nne katika skuli ya Lumumba 1981. 1981 alijiunga na taasisi ya Kiswahili na Lugha za kigeni ambapo alihitimu stashahada ya uwalimu 1985 Juni alijiunga na chuo kikuu cha Dar es salam na kuhitimu ngazi ya shahada 2019 alijiunga na shahada ya Udhamili ya Lugha . Amefanya kazi kama mkufunzi na baadae mhadhiri mwandamizi katika skuli ya kichwahili na lugha za kigeni chuo kikuu cha taifa cha Zanzibar hadi alipostaafu 2020 pia ni mwamdishi maarufu wa kazi za Fasihi na Lugha.

Audio

3 tracks

Punda Si Kwa Peremende

0:00 / 1:33

Mama Hawi Ni Likwama

0:00 / 2:31

Sasa Awika Mjini

0:00 / 1:54